FDL

GEITA GOLD KUKATA RUFAA KUPINGA KUSHUSHWA DARAJA


Saa chache baada ya hukumu ya kuishusha daraja timu ya Geita Gold, uongozi wa timu hiyo umesema kuwa hawakubaliani na adhabu iliyotolewa kwa timu yake na hivyo watakata rufaa juu ya hukumu iyo iliotolewa hii leo.

Mwakilishi wa Geita gold aliyehudhuria katika utolewaji wa ripotia hiyo, akizungumza na kituo cha redio cha Clouds FM alisema kuwa hawajakubaliana na hukumu iliyo tolewa dhid yao na watakata rufaa juu ya hukumu hiyo.

Mwakilishi huyo alienda mbali kwa kusema kuwa kuna baadhi ya viongozi ndani ya TFF walikuwa wanaomba wapewe pesa na Geita gold na vielelzo hivyo wanavyo, na wadai haki zao hata kama kuihusisha serikali katika sakata hili.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.