maproo

SIMBA YANUKIA KUMTUMIA MAVUGO MSIMU UJAO

Laudit Mavugo

Si stori tena, Simba SC baada ya kuhangaika muda mrefu kusaka saini ya msham buliaji toka Burundi Laudit Mavugo, hatimaye usiku wajana wamefanikisha kumleta Dar es salaam mshambuliaji huyo na kumkabidhi jezi ya namba 45.

Mshambuliaji huoy wa Vatal'O alikuwa hakihusishwa na Sima SC toka mwishoni mwa mwaka jana, na jana usiku walifanikisha umleta nchini ikiwa ni dalili njema ua kukamilisha usajili wa mshambulii huyo na huenda msimu unaoanza agust 20 akaanza kuitumikia Simba SC.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.