vilabu

DEAL DONE: ATUPELE GREEN ASAINI RUVU


Mfungaji bora wa michuano ya kombe la TFF linalodhaminia na Azam Sports HD, Atupele Green amemwaga wino wa kuitumikia Ruvu Shooting ya Pwani kwa mkataba wa Mwaka mmoja na nusu.

Atuoele alikuwa anahusishwa na kujiunga na timu ya Majimaji ya mjini Songea, baada ya kuendelea kufanya vyema msimu uliopita akiwa na Ndanda FC, na msimu kabala ya huo alikuwa Kagera sugar.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.