vilabu

THEMI AREJEA KAGERA SUGAR, EDO CHRISTOPHER, MATOGOLO NA BURHAN NAO NDANI

Mfumania nyavu wazamani wa Kagera sugar aliyekuwa anakipiga Mbeya City FC kwa misimu miwili amerejea rasmi katika kikosi cha Kagera Sugar baada ya Mbeya city kusita kumuongezea mkataba.

Kwa mujibu wataarifa iliyo wekwa katiaka ukurasa wa instagram wa Kagera Sugar, Themi Felix nawachezaji wengine wanne teyari wamesha saini kuitumikia timu hiyo inayotarajia msimu ujao kurejea katika uwanja wao wa Kaitaba.

Wachezaji wengine waliojiunga na Kagera sugar ni pamoja na mshambuliaji wazamani wa Simba SC, Polisi Morogoro na msimu uliopita alikuwa ancheza Toto Afrika, Edward Christopher, Hassan Khateeb, Antony Matogolo na David Burhan 


About Unknown

0 comments:

Powered by Blogger.