wachezaji

CHUJI AREJEA LIGI DARAJA LA KWANZA


Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amezindua rasmi kikosi cha kuipandisha KMC FC katika Ligi Kuu  Bara na moja ya mambo aliyofanya ni kumkabidhi jezi yake kiungo mpya wa timu hiyo, Athumani Iddi ‘Chuji’.

Chuji ambaye ni nyota wa zamani wa Simba, Yanga na Mwadui FC amejiunga na timu hiyo tayari kabisa kuhakikisha msimu uhao inapanda daraja.

Pamoja na Chuji wengine ambao wamesajiliwa na KMC FC ni Eric Mawala (kutoka Mbeya city), Issa Ngoah (Simba), Rashid Roshwa (Kagera Sugar), Lembele Jerome (Kagera Sugar) na Mussa Kidu (JKT Ruvu).

\Chanzo: salehjembe blog

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.