vilabu

MBEYA CITY YAICHAPA 4 MABABOU

Mbeya city imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4-0 mbele ya Mababou katika mchezo wa kirafiki uliochezwa hii leo.

Magoli ya Mbeya city hii leo yalifungwa na Joshua Lukaku aliyefunga magoli mawili, Kenny Jr na Michael Christopher.

Mbeya city inajianda na ligi kuu ya vodacom na juali 30 wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhid ya Mtibwa sugar kabla ya ligi kuu ya vodacom kuanza hapo agosti 20 mwaka huu.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.