Mchangani

MISOSI WAICHAPA MOJA WAUZA MATAIRI NA KUTINGA ROBO

Wachezaji wa Misosi FC
Timu ya Misosi FC wamefanikwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Dr. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup, baada ya kuwafunga wauza matairi goli 1-0.

Goli pekee la mchezo huo lililowapeleka Misosi robo fainali lilipatikana katika dakika ya 80 likifungwa na Chino Ayubu. 

About Unknown

0 comments:

Powered by Blogger.