vilabu

TELELA AJIUNGA NA NDANDA FC

Ndanda FC imefanikiwa kunasa saini ya kiungo alieachwa na mabingwa wa Tanzania Bara Yanga, Salum Telela.

Ndanda Fc ambayo imetangaza dhamira ya kufanya vyema zaidi ya msimu uliopita katika msimu huu utakao anza agusti 20 mwaka huu, wamefanikiwa kumsaini kiungo huyo mwenye uwezo wa kucheza katika nafasi mbalimbali za eneo la kati.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.