wanawake

TANZANIA YACHAPWA 3 NA NIGERIA

Timu ya Taifa ya soka la wanawake chini ya miaka 20 ya Tanzania 'Tanzanite' imefungwa na timu ya taifa ya soka la wanawake chini ya miaka 20 ya Nigeria goli 3-0, mchezo uliochezwa leo nchini Nigeria.

Mchezo huo ni wa kwanza wa kusaka nafasi ya kucheza kombe la dunia la soka ya wanawake chini ya miaka 20, ambapo wanatarajia kurudiana baada ya wiki mbili nchini Tanzania, ambapo Tanzanite wanahitaji ushindi wa goli 4-0.

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.