wanawake

TANZANITE YACHAPWA 6 CHAMANZI

Timu ya taifa ya soka la wanawake chini ya miaka 20 ya Tanzania, Tanzanite hii leo wamekubali kichapo cha goli 6-0 toka kwa wakina dada wenzao wa Nigeria katika mchezo wa kusaka nafasi ya kucheza kombe la Dunia la wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20.

Tanzanite wamekubali kichapo hicho cha goli 6-0 toka kwa Nigeria katika uwanja wa Azam complex uliopo Chamanzi na kupelekea kutolewa kwa matokeo ya jumla ya magoli 9-0.

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.