yanga

YANGA KUJIPIMA AZAM

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara Yanga wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki jumapili hii oktoba 8 katika uwanja wa Azam Complex dhidi ya KMC inayoshiriki ligi daraja la kwanza.

Mchezo huo utachezwa saa moja usiku, amnapo yanga wanatarajia kutumia wachezaji ambao hawajapata nafasi ya kutosha katika michezo 6 iliyopita ya ligi kuu ya vodacom.

Yanga imeamua kuitumia mechi hiyo ya kirafiki kama mazoezi lakini kumpa nafasi Lwandamina raia wa Zambia kuendelea kukipanga kikosi chake.

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.