CAF

AL-MASRY WATUA BONGO TEYARI KUWAKABILI SIMBA

Wapinzani wa vinara wa ligi kuu ya vodacom Simba SC, Al-Masry wamewasili leo alfajiri jijini Dar es salaam, teyari kwa mchezo wa jumatano wa kombe la shirikisho la soka Africa.

Al-Masry imewasili na msafara wa watu 40 na wamefikia katika hoteli ya Hyatt (Kilimanjaro kempiski) iliyopo jijini Dar es salaam, wakiwa teyari kwa mchezo wao wa jumatano unaotarajiwa kuanza saa kumi na mbili jioni katika uwanja wa Taifa.

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.