CAF

YANGA WATANGAZA KIINGILIO, WABOTSWANA WATUA

Mabingwa wa ligi kuu ya vodacom Yanga hii leo wametangaza viingilio vya mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers kutoka Botswana, utakao chezwa siku ya jumanne machi 6 mwaka huu.

Viingilio vya mchezo huo utakao anza saa kumi na nusu ni VIP A - 20,000/=, VIP B & C - 10,000/= na Mzunguko - 5,000/=

Katika mchezo huo Yanga SC inataraji kuwatumia nyota wake waliokuwa majeruhi wa muda mrefu miongoni mwao ni kiungo Thaban Kamusoko, Juma Mahadhi na Donal Ngoma.

Wakati yanga wakitangza viingilio hii leo wapinzania wao Township Rollers wamewasili jijini Dar es salaam mchana wa leo.

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.