Timu ya Al ahly iliyopangwa kundi B katika klabu bingwa Africa, na mchezo wao wa kwanza watacheza na mshindi katika mchezo utakao chezwa tarehe 28 mei katika kiwanja cha Petrosport kilikopo jijini Cairo.
Mechi hiyo ambayo itawakutanisha Simba ya Tanzania na Wydad Casablanca ya Morocco ni baada ya TP Mazembe kuvuliwa ubingwa kupokwa ushindi dhidi ya Simba kwa kosa la kumtumia mchezaji ambaye hakuwa ajakamilisha taratibu za usajili.
Cairo ndio maskani ya timu ya Al ahly ambayo inasaka ubingwa wa saba baada ya kuupoteza kwa mda wa miaka mitatu sasa. Al ahly watautumia mchezo huo kumsoma mpinzani wake ambaye atacheza nae hapo julai katika mechi ya kwanza ya hatua ya makundi.
Simba wanarejea Cairo baada ya kuonyesha miujiza mwaka 2003 pale walipo ilaza timu ya Zamaleki kwa matuta na kufanikiwa kuting hatua ya makundi. Hata hivyo mwaka jana Simba walipokea kichapo cha mbwa mwizi magoli matano kwa mawili kutoka kwa Hadoud hapo Misri.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na gazeti moja la Tanzania linasema TP Mazembe wamewaruhusu Mbwana Samatta na Patrick Ochan kujiunga na Simba kwa ajili ya mchezo huo.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment