Katika mazoezi ya simba yanayoendelea jijini Dar es salaam katika uwanja wa Taifa yamezidi kupamba kasi huku wachezaji wakizidi kuitikia wito.
Kiungo Mshambuliaji aliyengara na simba kipindi cha nyuma kabla hajatimkia Sweden, Haruna Moshi 'Boban' alihudhuri mazoezi ya jana pamoja na kiungo aliyesajiliwa toka azam Patrick Mafisango.
Katika ripoti za mtaani zinasema kuwa Boban amesha sajiliwa na simba kwa ajili ya msimu ujao. Boban, Chuji na Mafisango hawato shiriki katika mchezo baina ya Simba na Wydad utakao chezwa tarehe 28 mei katika uwanja wa petrosport jijini Cairo.
Katika mazoezi hayo ya jana katika uwanja wa Taifa kulitokea vurumai kati ya walinzi na mashabiki waliotaka kuingia uwanjani kuaangalia mazoezi ya Simba.
SIMBA KUELEKEA ZANZIBAR.
Timu ya simba inatarajiwa kuelekea Zanziba kukamilisha maandalizi ya kuivaa Wydada toka Morocco hapo mei 28.
MAPATO KUGAWANYWA KWA TIMU MBILI.
Taarifa iliyotolewa na afisa habari wa Tff Bonifac Wambura, inasema kuwa kila timu itajigharamia safari ya kwenda Misri kwa ajili ya mchezo huo wa mei 28 ambao utaamuliwa na matuta baada ya dakika 90 kuisha huku wakiwa sare.
Timu husika ambazo ni Simba na Wydada wakishirikiana na shirikisho la mprika katika nchi husika watagharamia gharama za maofisa wa mchezo huo huku mapato yatakayo patikana katika mchezo husika ya tagawanywa nusu kwa nusu kwenda katika vilabu husika.
Mwenyeji kwa suala la kuzipokea timu ni shirikisho la mpira wa Misri EFA.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment