Mashindano ya klabu bingwa Afrika mashariki na kati yanayo dhaminiwa na Raisi Paul Kagame maarufu kama Kagame Cup yamehamishiwa Dar es salaam.
Hapo awali mashindano haya yanayo fanyika kila mwaka yalipangwa kufanyika katika visiwa vya Zanzibar lakini ya kahamishiwa Khartoum Sudan baada ya Zanzibar kuona utakuwa mzigo kwao. Ikiwa imebakiwa na mwezi mmoja mashindano kuanza, yametangazwa kuhamishia jijini Dar es salaam, Tanzania kwa sababu za vurugu zinazo endelea kusini mwasudan na zinaweza zikawa kubwa zaidi hapo mwezi juni katika kufikia adhimio la kugawa nchi kuwa nchi mbili toka kwa moja.
Michuano hiyo inayohusisha vilabu bingwa katika nchi wanachama wa CECAFA, inatarajiwa kutimuwa vumbi juni 21 mpaka julai 5 na huenda timu ya Azam fc ikashiriki kwa mara ya kwanza kwa kuwa nchi mwenyeji anaingiza timu mbili.
Azam inapata nafasi kutokana na yanga kuwa bado haijafunguliwa kutoka kwenye kifungo chake na kuipatia nafasi Azam iliyoshika nafasi ya tatu katika msimu wa 2009/2010, ambapo Simba alikuwa bingwa na yanga kukamata nafasi ya pili.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment