Timu ya Nizar Khalfan, Vancouver Whitecaps FC walikuwa wanaongoza goli moja bila kabla ya mvua kuwa kubwa na mpambano kuvunjwa zikiwa zimesalia dakika 30.
Vancouver Whitecaps FC walikuwa ugenini katika mchezo wa awamu ya pili wa Nutrilite Canadian Championship dhidi ya Toronto FC katika uwanja wa BMO. Katika mchezo wa awali Toronto FC walitoka sare kufungana goli moja.
Mechi hiyo imepangwa kuchezwa leo saa mbili asubuhi kwa masaa ya Canada, huku Vancouver wakilikosa goli lao la ugenini kutokana na mchezo kuanza upya.
Baada ya mpambano kusitishwa Kocha wa Vancouver alisema tulikatishwa tamaa, na faida ya goli tulilo lipata halipo tena.
“We’re disappointed, of course, The advantage that we had gotten this game doesn’tcount, so that is obviously unfair. As far as the conditions, that isthe referee’s decision and we have to respect that.” alisema kocha mkuu Teitur Thordarson.
Wakati Paul Barber aliye enda BMO kushuhudi timu yake ikirejea na ushindi alisema sijawahi kuona kitu kama hicho kwa mda wa miaka 16 katika ulimwengu wa soka la kulipwa. “I’ve never seen anything quitelike this in the 16 years that I’vebeen involved in professionalsoccer,” alisema Paul.
Kocha wa Vancouver amesema watajianda upya katika kuwakabili Toronto hapo alhamis asubuhi (kwa majira ya canada) kuhakisha tunarejea na ushindi. “I absolutely think we canregroup, If the game is going to be played tomorrow morning, definitely we will be here, ontime,” alisema kocha wa Vancouver
aamsuni

0 comments:
Post a Comment