Mshambuliaji wa TP Mazembe aliyesajiliwa kutoka simba sc ya jijini Dar es salaam, Mbwana Samatta anatarajiwa kuanza mazoezi leo katika klabu yake mpya. "kwa mara ya kwanza leo nitaanza rasmi mazoezi na kikosi cha TP MAZEMBE," Samatta aliiyambia blog ya Shaffih Dauda.
Samatta aliendelea kusema kuwa, hadhani kama TP Mazembe watamruhus kujiunga na Simba katika mchezo dhidi ya Wydada ya Morocco hapo kati ya mei 27, 28, 29 katika uwanja utakao tangazwa hapo baadae, ila kunauwezekano mkubwa kuchezwa Khartoum, Sudan. "Kuhusu kuja simba kwa ajili ya mchezo dhidi ya wydad casablanca sidhani kama viongozi wataniruhusu, nasikilizia mawasiliano ya klabu zote mbili hasa taarifa nitayopewa na TP Mazembe," Samata aliieleza blog ya Shaffih.
source: shaffih.blogspot.com
aamsuni

0 comments:
Post a Comment