Timu ya villa squad iliyo rejea ligi kuu wanatarajiwa kufanya chaguzi juni 12 mwaka huo.
Villa squad ilipanga kufanya chaguzi mapema mwezi huu kabla ya Tff kuighairisha pamoja na ule wa Coastal Union ya Tanga, kutokana na kushindwa kutimiza vigezo.
Katibu wa Usajili Alhaj Mcha Mataka amesema kuwa wanatarajiwa kuwatangaza wagombea hapo kesho baada ya usajili wajana teyari kwa kampeni na chaguzi ya tarehe 12 juni.
Bwana Mataka amewataka wanachama wawe makini katika chaguzi hizo kwa kuchagua viongozi watakao leta maendeleo kwa mda wa miaka minne wakayo kuwepo madarakani.
TFF: WANACHAMA ITISHENI CHAGUZI.
Kamati ya uchaguzi TFF inawataka wanachama wote wa TFF kwa ngazi zote kukamilisha uteuzi wa wajumbe wa Kamati za Uchaguzi kabla ya tarehe 31 Mei 2011 kama yalivyo maelekezo ya TFF kwa wanachama wake yaliyotolewa mwanzoni mwa mwezi Aprili 2011.
Kamati ya Uchaguzi ya TFF inavitaka vyama vya mpira wa miguu vya wilaya ambavyo muda wa ukomo wa madaraka ya uongozi umekwisha/ umekwishapita vianze mara moja mchakato wa uchaguzi.
Vyama hivyo vinaagizwa kushirikiana na Kamati za Uchaguzi za vyama vya mpira wa miguu vya Mikoa kuhakikisha kuwa vinafanya uchaguzi kabla ya tarehe 31 /07 /2011, kwa mujibu wa maagizo yaliyotolewa na TFF mwezi Aprili mwaka huu, na vifanye hivyo kwa kufuata Katiba zinazoendana na Katiba ya mfano ya TFF na kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za wanachama wa TFF.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment