Klabu ya Yanga iko mbioni kufungua duka la kuuza bidhaa zake katika jengo la makao makuu ya klabu, lililopo katika mitaa ya twiga na jangwani katika jiji la Dar es salaam.
Duka hilo linatarajiwa kufunguliwa wiki hii, huku uongozi wa yanga ukiwataka wale wanao uza bidhaa zake kinyume na taratibu, wafuate taratibu kwani watafanya msako waku kamata bidhaa zake zinazo uzwa kinyemela mitaani.
Hatua hiyo inakuja baada ya tamko la uongozi uliopita chini ya Imani Madega, ambapo nembo ya yanga ilisajiliwa rasmi na kuwataka wanao uza bidhaa zenye nembo hiyo wafuate taratibu.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment