Azam FC yaichapa Villa, Kipre atupia
Azam FC wameichapa Villa squad goli 2 kwa bila katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Azam hii leo.
Azam FC ambayo ilimuanzisha Khamis Mcha katika nafasi ya Mrisho Ngassa waliuwanza mchezo kwa kupata goli la mapema mnamo dakika ya kwanza kupitia kwa Kipre Tchetche kabla ya John Bocco kufunga hesabu ya Magoli, kwa kuifungia goli la pili.
Kesho Simba SC itawakaribisha Polisi Dodoma katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi Mbande.
MSIMAMO WA VPL.
Kwenye Mabano Idadi ya Mechi Zilizochezwa.
1. Simba SC (4) 10
2. JKT Ruvu (5) 9
3. Mtibwa Sugar ( 5) 8
4. Moro United (5) 8
5. Azam FC (5) 8
6. Toto Africa (5) 7
7. JKT Oljoro ( 5) 6
8. Africa lyon (4) 5
9. Coastal Union (5) 4
10. Villa Squad (5) 4
11. Kagera Sugar (5) 4
12. Ruvu Shooting (5) 4
13. Polisi Dodoma (4) 3
14. Yanga SC (4) 3
0 comments:
Post a Comment