TFF

SHAURI YA KIPA WA AZAM FC KUSIKILIZWA KESHO


Shauri la kipa wa Azam FC Razak Abalora linataraji kusikilizwa kesho katika ofisi za shirikisho la soka Tanzania baada ya hapo juzi kutoka taarifa ya kusimamishwa kwake kucheza michezo ya ligi kuu ya vodacom.

Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao wa Azam FC, shauri hilo litasikilizwa na kamati ya maadili ya TFF.

"Taarifa zilizoifikia Azam FC kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zinaeleza kuwa shauri ya kipa wa timu hiyo, Razak Abalora, la kumtolea lugha chafu mwamuzi Jonesia Rukyaa, kwenye mechi na Simba Februari 7 mwaka huu linatarajia kusikilizwa kesho Jumatatu na Kamati ya Nidhamu" ilieleza taarifa hiyo.

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.