Leo katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi, Mbande kumepatikana hat-trik ya kwanza msimu huu wa 2011/12, huku kukishuhudia magoli mengi zaidi katika mchezo huo wa ligi kuu ya vodacom.
Moro United hii leo waliwakaribisha maafande toka Dodoma, Polisi Dodoma na kushuhudia Moro united wakichapwa goli 5-2.
Magoli ya Polisi Dodoma yalifungwa na Kulwa Mobi aliyefunga magoli mawili na Juma Seuseu aliyetupia goli tatu (hat-trick).
Katika mchezo mwingine wa ligi kuu ya vodacom ulichezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kati ya JKT Oljoro na African lyon. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bila kufungana
MSIMAMO WA VPL.
Kwenye Mabano Idadi ya Mechi Zilizochezwa.
1. Simba SC (6) 14
2. Mtibwa Sugar (6) 11
3. Azam FC (6) 11
4. JKT Ruvu (6) 10
5. Moro United (5) 8
6. Toto Africa (6) 8
7. Ruvu Shooting (6) 7
8. JKT Oljoro (6) 7
9. Yanga (6) 6
10. Africa lyon (6) 6
11. Polisi Dodoma (6) 6
12. Kagera Sugar (6) 5
13. Coastal Union (6) 4
14. Villa Squad
(6) 4
0 comments:
Post a Comment