VPL

Lyon waondoka na 3, kesho Yanga na Coastal

Africa lyon wameondoka na point zote tatu hii leo katika uwanja wa Azam uliopo maeneo ya Chamanzi pale walipo wakaribisha vijana toka Tabata Moro United.

Ligi kuu ya vodacom imeendelea leo kwa mchezo huo mmoja kati ya African lyon na Moro united na African lyon kuwachabanga Moro united goli 2-1.

YANGA KUWAKARIBISHA COASTAL UNION.

Kesho ligi kuu ya vodacom inaendelea kwa mchezo mmoja katika ya Yanga na Coastal union katika uwanja wa Taifa.


MSIMAMO WA VPL.
Kwenye Mabano Idadi ya Mechi Zilizochezwa.
1. Simba SC (8) 18
2. Azam FC (8) 15
3. JKT Oljoro (8) 13
4. Mtibwa Sugar (8) 12
5. JKT Ruvu (8) 12
6. Ruvu Shooting (8) 11
7. Toto Africa (8) 9
8. Yanga (7) 9
9. Moro United (8) 9
10. Africa lyon (8) 9
11. Kagera Sugar (8) 8
12. Polisi Dodoma (8) 7
13. Villa Squad (8) 5
14. Coastal Union (7) 4 13

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.