WATALAMU wa masuala ya ujenzi kutoka nchini Uturuki wanatarajiwa kuja nchini Oktoba 5 kwa ajili kulifanyia tasmini eneo linalotarajiwa kujengwa uwanja wa klabu hiyo ‘Simba Sc Arena’, huko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Simba iliingia mkataba na kampuni ya Gidas ya huko kwa ajili ya kujenga uwanja huo ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 30,000 kwa wakati mmoja, sambamba na kuwepo kwa maduka, kumbi za mikutano na migahawa.
Mwenyekiti wa Klabu hiyo Ismail Aden Rage, alisema kwa njia ya simu jana kwamba mara baada ya wataalamu hao kufanya tathmini, watawataarifu wanachama wao kabla ya kuanza mchakato wa ujenzi.
mamapipiro.blogspot.com

0 comments:
Post a Comment