VPL

Mtibwa kuendelea kuipumulia Simba

Wakatamiwa wa Manungu leo watakuwa kibaruwani kusaka point 3 muhimu, zitakazo mfanya aipumulie Simba SC pale watakapo karibishwa na Polisi Dodoma.

Polisi Dodoma iliyotoka kufanya mauwaji ya 5-2, kwa Moro united watakuwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma, kuendeleza wimbi lao la ushindi na kuzidi kujikita mahali pazuri katika msimamo wa ligi kuu ya vodacom.


Michezo mingine ya ligi kuu ya vodacom itakayochezwa leo itawakutanisha;

JKT RUVU Vs MORO UNITED, Azam Stadium Dar es salaam

KAGERA SUGAR Vs JKT OLJORO, Kaitaba Kagera

RUVU SHOOTING Vs AFRICAN LYON, Mlandizi Pwani

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.