Timu anayochezea mtanzania Nizar Khalfan Vancouver Whitecaps waliwakaribisha wadhamini wa African lyon na timu aliyofanya majaribio Mrisho Khalfan Ngassa, Seatte Sounder katika uwanja wa Empire.
Mchezo huo uliokwisha hivi punde na kushuhudia Seattle Sounders wakiibuka kidedea kwa kuichapa goli 3-1 Vancouver Whitecaps, huku kiungo toka Tanzania Nizar Khalfan akikosekana hata kwenye bench ya timu yake.
Whitecapr walikuwa wa mwanzo kupata goli kupitia kwa Camilo Sanvezzo katika dakika ya 22 ya mchezo kabla ya B. Evans kuisawazishia Sounder goli kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 33.
Timu hizo zilikwenda mapumziko zikiwa sare ya goli moja kwa moja. Kipindi cha pili kilikuwa cha neema kwa Sounders inayoshika nafasi ya pili ikiwa imezidiwa point kumi na vinara LA Galaxy.
Sounders walipata goli la pili na la tatu katika dakika ya 64 na 67 kupitia kwa F. Montero na kupeleka kilio kwa Whitecaps ambayo iko nafasi ya 9 katika msimamo wa ligi.
Kipenga cha mwisho kilipulizwa huku Seattle Sounders wakiwa mbele kwa goli 3 dhidi ya 1 la Vancouver Whitecaps.
VIKOSI VILIVYO ANZA ASUBUHI YA LEO.
WHITECAPS
1. J. Cannon
6. J. DeMerit
26. J. Harvey
2. M. Boxall
25. J. Leathers
33. P. Vagenas
20. D. Chiumiento
28. G. Koffie
29. E. Hassli
7. M. Jarju
37. Camilo Sanvezzo
SEATTLE SOUNDERS
18. K. Keller
12. L. González
31. J. Parke
34. J. Hurtado
20. Z. Scott
3. B. Evans
6. O. Alonso
15. Á. Fernández
27. L. Neagle
21. N. Jaqua
17. F. Montero
WALIOKUWA BENCHI.
WHITECAPS.
12. J. Brovskyfor (J. Leathers 46')
22. S. Salinasfor (M. Jarju 58')
14. G. Janicki
15. P. Davies
23. Long Tan
18. J. Nolly
17. O. Salgado
SEATTLE SOUNDERS.
19. S. Ochoafor (N. Jaqua 66')
4. P. Ianni
2. M. Fucito
16. D. Estrada
29. J. Ford
23. S. Carrasco
14. M. Tetteh

0 comments:
Post a Comment