Mshambuliaji wakimataifa wa Uganda Emanuel Okwi ameifungia goli pekee timu yake ya simba hii leo katika uwanja wa Taifa, dhidi ya Mtibwa Sugar.
Simba hii leo wamezidi kujikita kileleni baada ya kuichapa goli moja timu ya mtibwa Sugar. Katika mchezo huo Simba walipoteza penati katika kipindi cha pili cha mchezo kupitia kwa Victor Costa Nyumba.
Goli pekee la Simba lilipatikana kipindi cha kwanza kupitia kwa Emanuel Okwi.
KAGERA SUGAR WAPATA USHINDI WA KWANZA.
Katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera hii leo Kagera Sugar wamepata ushindi wao wakwanza pale walipo wafunga Polisi Dodoma.
Kagera Sugar wamewafunga Polisi Dodoma magoli mawili kwa bila.
MSIMAMO WA VPL.
Kwenye Mabano Idadi ya Mechi Zilizochezwa.
1. Simba SC (8) 18
2. Azam FC (7) 14
3. Mtibwa Sugar (8) 12
4. JKT Ruvu (7) 11
5. Ruvu Shooting (7) 10
6. JKT Oljoro (7) 10
7. Toto Africa (7) 9
8. Yanga (7) 9
9. Moro United (7) 9
10. Kagera Sugar (8) 8
11. Africa lyon (7) 6
12. Polisi Dodoma (8) 7
13. Coastal Union (7) 4
14. Villa Squad (7) 4

0 comments:
Post a Comment