Michezo ya ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa michezo mitatu ambapo timu za jeshi la kujenga taifa zilikuma uwanjani kucheza na timu mbalimbali.
CCM KIRUMBA, Mwanza.
JKT Oljoro wamekamilisha ziara yake ukanda waziwa na kufanikiwa kunasa point 6 na magoli manne ambapo Simba SC walishindwa kuzinasa.
Toto Africa waliwakaribisha wajeda hao wakujenga taifa na kufungwa 2-0 na JKT Oljoro.
MABATINI, Pwani.
Azam FC wamepunguzwa kasi hii leo baada ya kwenda sare ya bila kufungana na Ruvu Shooting, mchezo ulioshuhudiwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Moderator wa ukurasa wa Azam ndani ya Facebook aliripoti kuwa refa kawanyima magoli mawili ambayo moja kwa moja haya kuwa ya kuotea, moja ya magoli hayo lilikuwemo la Mrisho Khalfan Ngassa.
AZAM STADIUM, Dar es salaam.
Villa squad wametoa sare baada ya kupokea vichapo katika michezo 4 iliyopita pale walipo wakabili JKT Ruvu na mchezo kwisha kwa sare ya bila kufungana.
MSIMAMO WA VPL.
Kwenye Mabano Idadi ya Mechi Zilizochezwa.
1. Simba SC (8) 18
2. Azam FC (8) 15
3. JKT Oljoro (8) 13
4. Mtibwa Sugar (8) 12
5. JKT Ruvu (8) 12
6. Ruvu Shooting (8) 11
7. Toto Africa (8) 9
8. Yanga (7) 9
9. Moro United (7) 9
10. Kagera Sugar (8) 8
11. Africa lyon (7) 6
12. Polisi Dodoma
(8) 7
13. Villa Squad (8) 5
14. Coastal Union (7) 4

0 comments:
Post a Comment