Kitaa kimetembele katika mtaa wa kandanda ndani ya facebook group na kukutana na mwaliko toka kwa moja wa viongozi wa Azam, Patrick Kahemela.
TWENDE TUKAUONE MWALIKO WA PATRICK KAHEMELA NA UWITIKIO WA WAGENI.
Patrick Kahemela: Polisi Dom imekuwa timu ya kwanza VPL kupata ushindi wagoli tano (5) rekodi ya magoli mengi ilikuwa ikishikiliwa na Toto Africa mechi ya ufunguzi baada ya kuibanjua Villa squad 3-0. Hakuna timu iliyoshinda zaidi ya goli 2 kwa timu nyingine zilizobaki.kwenye Standing Villa Squadinashika mkia ikiwa na pointi nne(4) pointi mbili nyuma ya Yangainayoshika nafasi ya saba (7) napilisi Dom inayoshika nafasi ya (6)hakuna timu ambayo haina pointina hakuna timu ambayohaijapoteza pointi. Rekodi yakutofungwa imebaki kwa Simbana JKT Ruvu pekee. Hii ni rekodi yakipekee kwa VPL kwa zaidi yamiaka 10. Sijui waandishi wetuwa magazeti ya Simba na Yangana Redio na TV za Simba na Yangawameliona hili au wanaendeleakumsifia nanihii ambaye hana golihata moja hadi sasa?
Ally Suru: Waghana wa Azam wapo wapi mbona kimya???
Ismail Mohamed: pk nani sunzuha ha ha ha acha ugomvi bwana!
Patrick Kahemele: Labda waghana wa Azam au Zahoro pazi kama amekuwa akiandikwa hivi ".... Balaaa... apiga 5 mazoezini nk
Wilfred Mushi: Pk usishangae hii tathimini kesho ukaisoma kwenye magazeti!! U knw waandishi wetu wachache sana wanaweza kutoa scientifical report kama hii!! Bigup webmaster pk!!
Deus Gamba: Kweli PK, ndio kawaida yao hawana jipya zaidi ya kukariri mambo ya kizamani,leo hii wataelezea uhusiano wa Simba & Coastal na Yanga & Toto katika hisia za kupanga matokeo, wanaacha kuzungumzia lililo wazila JKT & Ruvu shooting, kama ilivyokuwa msimu ulopita ambapo Ruvu ilitakiwa iifunge JKT ktk game ya mwisho ili ibaki VPL
Anderew Chale: Du asante kwa takwimu yako yako ngoja niifanyie kazi nakuahidi itakuanzuri igweeeeeeee@Patrick
Speci Joseph: naongezea mchezaji wa Police Dom, Juma Semsuya ni mchezaji wa kwanza VPL msimu huu kupiga hat-trick,,,,
Patrick Kahemele: Kwa nyongeza tuu, Game ya leo kati ya Polisi na Moro imeisha kwa 5-2, haya ni magoli mengi zaidi ya yale yaliyofungwa na washambuliaji nane wa kigeni kwa pamoja katika mechi 6 zilizochezwa, wahab& Kipre (Azam), Sunzu,Kago&okwii (Simba), Asamoah,Kiiza & Mwape (Yanga)
Sam Mkasi: ni mekubali lakini @patrick nini tatizo la YANGA?
Patrick Kahemele: atizo la Yanga ni kufanya pre- Season Training mara mbili mdani ya msimu mmoja, walipomuondoa Papic, Timbe alipokuja aliwafanyisha mazoezi ya Pre-Season nje ya wakati, bahati nzuri walifahamu ushiriki wao CECAFA siku 10 kabla ya mashindano kwa hiyo walifanya crash program, sasa baada ya CECAFA wakafanya Pre-season ya pili, kocha wangu aliwahi niambia kuwa coming to september yanga will be very tires, with many injuries....Wachezaji wengi wa Under 23 wanakumbana na Tatizo hili, Azam FC ni mhanga mkubwa kwa kuwa tulichangia wachezaji 8 kwenye timu ya awali ya U-23 ambapo walipelekwa BambaBeach for Pre season with Julio @Mkasi Sam
Patrick Kahemele: lakini ieleweke kwamba hata Azam FC na Simba hazijafanya vizuri sana zaidi ya kubebwa na Defence ngumu, Simba wakiwa wamefungwa goli moja na Azam FC magoli mawili pekee... Simba na Azam FC zimefunga magoli 6 katika mechi sita... hii siyo dalili nzuri na Yanga wanaweza twaa ubingwa, ligi bado mbichi
Sam Mkasi: mi nahisi Yanga wamezoea kuwa na winga mwenye kasi kama ilivyokuwa kwa Ngasa au SMG daima mipango ya yanga huanzia pembeni kwa Nsajigwa na 7 mwenye speed hamna kitu hiki tena yanga wanapiga squre pass ambazo hazifiki golini TIMBE minashuku uwezo wake hata kufanya sub
Deus Gamba: @Mkasi, kuwamakini na maelezo yako, hao yanga walishinda ubingwa msimu uloisha pasipo kuwa na Ngassa na SMG. Pia jaribu kuadvance kimawazo cz tukiendelea hv kusahau mambo ya muda mfupi ulopita kamwe hatuta piga hatua yoyote ktk soka leo, huyo Timbe unaetilia shaka uwezo wake in a space of 3 months kawapa Yanga 2 titles, tena aliikuta pabaya ktk ligi. Waliposhinda alisifiwa bonge la kocha, leo wanayumba eti uwezo duni kwa hz skwea pac zako
Moses Kaswa: Lakini jamani mimi napata wakati mgumu sana ninapofuatilia soka letu la bongo. Napata wakati mgumu zaidi kwa kila shabiki kuwa kocha, maana ukiangalia mashabiki kumlalamikia kocha kuwa anauwezo mdogo, sijui sub zake siyo nzuri. Napata shida hapo , kwasababu rekodi ya Timbe kwa soka la Afrika Mashariki na kati, ndiye kocha mwenye rekodi bora kuliko kocha yoyote . Mimi nafikiri suala la yanga ukiangalia siyo lakumtupia lawama sana kocha. Na kwenye soka hakuna njia yamkato inabidi kocha apewe muda wa w kubadilisha mfumo, siyo kazi ya siku moja. Maana hata Azam kocha amechukua muda na sasa matunda yanaonekana lakini kama angekuwa Yanga tayari angeshakuwa amefukuzwa.Tuache mambo ya kitaalamu kwa wataalam.

0 comments:
Post a Comment