Kikosi cha wanafunzi wakitanzani katika chuo cha kimataifa Africa (IUA) kilichopo Khartoum Sudan kimeichapa bila huruma wanafunzi wenzao toka Ivory coast katika mchezo wa kujipima nguvu, uliochezwa chuoni hapo.
Kocha msaidizi wa kikosi cha Tanzania Sadiki Mfinanga akifanya mahojiano na aboodmsuni amesema kuwa kikosi hicho kinazidi kuimarika kadri siku zinavyo kwenda huku hii leo wamefanikiwa kuilaza goli 2-0 timu ya Ivory coast.
"Baada ya Gambia kututibulia shangwe kwa kutuchapa 3-1, hatimae leo hasira zote tumezimalizia kwa tembo waivory coast kwa kuwachapa 2-0, ni full shangwe leo," Mfinanga alimuandikia aboodmsuni.
Akizungumzia mchezo wa leo, aliuwambia mtandao huu kuwa magoli ya Tanzania yalifungwa na kapteni wa timu hiyo Yusuph huku jingine likifungwa na katibu wa michezo na utamaduni Bw. Mbarouk.
Katika hatua nyingine aliueleza mtandao huu, kuwa kipa namba moja wakikosi hiko hayupo na hivyo nafasi yake imechukuliwa na yeye mwenyewe. Nafasi hiyo ilikuwa inatazamiwa kuchukuliwa na Msuni kabla ya kugeuza kurudi Tanzania.

0 comments:
Post a Comment