VPL

Toto Africa na Oljoro wasogezwa mbele

Mchezo ambao mtandao wa Aboodmsuni uliuripoti uchezwe leo kimakosa kati ya Toto Africa na JKT OLJORO.

Mchezo huo hapo awali ulipangwa uchezwe leo kabla ya marekebisho kufanyika ambayo mtandao wa Aboodmsuni hayakuyanasa na kufanya hii leo asubuhi kuuripoti kama mchezo ambao ungechezwa leo.

Hata hivyo mchezo huo umesogezwa mbele tena kwa siku moja ambapo utachezwa jumatatu september 26 badala ya jumapili september 25.

Mabadiliko hayo yamesababishwa na shughuli ya kijamii itakayo fanyika katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo ndipo mchezo huo ulipaswa kuchezwa.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.