Villa squad ya Magomeni imepokea kichapo cha tatu mfululizo katika michezo ya ligi kuu Tanzania Bara hii leo toka kwa Mtibwa Sugar.
Villa squad waliwakaribisha wakatamiwa wa Turiani, Morogoro Mtibwa Sugar katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi nnje ya jiji la Dar es salaam, ambapo Villa Squad walilala kwa goli 2-0.
Magoli ya Mtibwa Sugar yalitiwa kimiani na Thomas Morris na Said Rashid.
MATOKEO MENGINE YA VODACOM PREMIER LEAGUE:
Toto Africa 0-0 JKT Ruvu
Ruvu Shooting 2-1 Coastal Union
MSIMAMO WA VPL.
Kwenye Mabano Idadi ya Mechi Zilizochezwa.
1. Simba SC (5) 13
2. Mtibwa Sugar (6) 11
3. JKT Ruvu (6) 10
4. Moro United (5) 8
5. Azam FC (5) 8
6. Toto Africa (6) 8
7. Ruvu Shooting (6) 7
8. Yanga (5) 6
9. JKT Oljoro (5) 6
10. Africa lyon (5) 5
11. Coastal Union (6) 4
12. Villa Squad (6) 4
13. Kagera Sugar (5) 4
14. Polisi Dodoma (5) 3
0 comments:
Post a Comment