Baada ya Azam FC kuanza kuutumia uwanja wake wa Azam uliopo maeneo ya Chamanzi umeamsha project iliyokuwa imesimama pale Jangwani.
Katika uongozi uliopita Yanga walikuwa na project ya kuukarabati uwanja wake wa Kaunda pamoja na Jengo lao ambalo lilifikia katika hali ya kuridhisha, huku project ya uwanja ukisimama.
Kiongozi mmoja wa yanga akizungumza na kituo kimoja cha redio nchini alisema wanampango wakuendeleza project ya uwanja kwa kuanza na sehemu ya kuchezea.
Kiongozi huyo wa Yanga alisema kuwa uwanja wa Azam umekuwa changamoto kwao na wako kwenye mkakati wa kuendeleza project hiyo kwa kukusanya pesa za wahisani.
Katika hatua nyingine kiongozi huyo alisema yanga wanatarajiwa kupokea jezi zao mpya kwenye mwezi wa 10 na 11 toka kwa kampuni ya Marekani waliyo ingia nayo mkataba.
Alisema kuwa wakati mzigo huo ukiwa unatarajiwa wameanza mchakato wa kuondoa bidhaa zao ambazo hawazitambui sokoni.
Alisema kuwa katika mchakato huo wa kuzuia wafanya biashara wanaotumia nembo ya yanga katika biashara zao kwa kushirikiana na mamlaka husika.
Yanga hapo awali walitangaza bidhaa zote zenye nembo yake zisitishwe kuuzwa na kutumika kibiashara bila kuingia na makubaliano na yanga ambapo lilikuwa ngumu kufikia azimio hilo.

0 comments:
Post a Comment