Mabingwa wa Tanzania Bara na Africa Mashariki na Kati Yanga wamekubali mchezo wao kuchezwa siku ya jumatano badala ya leo.
Ofisa habari wa Yanga Lousi Sendeu jana akizungumzia suala la yanga kuanza kufanya mazoezi ufukweni, aligusa pia mchezo huo wa Coastal union na Yanga kuchezwa jumatano.
Juzi alhamisi ya semptember 22, kiongozi wa Yanga alisikika katika kituo kimoja cha redio akizungumza kuwa hawato kubali kucheza mchezo huo katika siku ya jumatano semptember 28, badala yake uchezwe semptember 24 kama ratiba inavyo onyesha kwa kubadili uwanja wa kuichezea mchezo huo toka kwenye uwanja wa Taifa na kuupeleka katika uwanja wa Azam.
Mchezo huo wa Yanga na Coastal union utachezwa siku ya jumatano ya semptember 28.
VPL KUENDELEA LEO.
Ligi kuu ya Tanzania bara maarufu kwa jina la Vodacom premier league "VPL" inatazamiwa kuendelea kwa mchezo mmoja utakao chezwa katika dimba la CCM Kirumba Mwanza.
Baada ya kulazimishwa sare na Simba SC, Toto Africa watawakaribisha wanajeshi wa kujenga taifa toka Arusha, JKT OLJORO katika mchezo ambao utakuwa na radha tofauti.
Pamoja na kuwa msimu wake wa kwanza Ligi kuu Oljoro imeonyesha ukomavu na huku ikizisumbua timu zilizo zoeleka kushika nafasi za juu za msimamo. Oljoro walifungwa na Simba kwa taabu na kuja kuwafunga Mtibwa Sugar na kisha kutoa sare na Azam FC kabla ya kuilaza nyumbani kwake Kagera Sugar goli 2-0 katika mchezo wake wa mwisho.
Toto Africa ni wagumu kuwa funga katika uwanja wake wa nyumbani CCM kirumba.
Mchezo wa Siku Ulaya.
English Premier League; MAN CITY Vs EVERTON, City of Mcr. Stadium

0 comments:
Post a Comment