vilabu

Villa wakimbiwa na wachezaji

Klabu ya Villa squad wameingiwa na mashaka kwa wachezaji wake kuikimbia klabu hiyo bila kufuata taratibu.

Jumanne Matipe aliiambia redio one kuwa Lameki Bonde aliwatumia messege ya kutaka kusitisha mkataba huku akigomea mazoezi, na inasemekana anatakiwa na Moro United, huku kipa Abbas akirudi visiwani Zanzibar na Haruna Shamte akitakiwa na Coastal union.

Matipe alisema kuwa wanachotaka Villa ni kwa wachezaji hao kufuata taratibu, huku suala la Haruna Shamte liko chini ya Simba.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.