vilabu

AZAM WAPELEKA WAWILI KWA MKOPO MAJIMAJI

Wachezaji wawili toka Academy ya Azam FC, Ismail Adam Gambo & Omary Wyne wamejiunga na Majimaji ya Songea kwa mkopo ili waweze kukomaa na baadaye kurejea klabuni. Azam FC inawatakia kila la kheri katika majukumu yao mapya kama wachezaji ya timu ya Ligi Kuu ya Majimaji baada ya kujifunza soka kwenye Academy ya Azam FC kwa zaidi ya miaka mitatu....

Wachezaji hawa pia ni sehemu ya kikosi cha timu za vijana za Taifa

Wachezaji wawili toka Academy ya Azam FC, Ismail Adam Gambo & Omary Wyne wamejiunga na Majimaji ya Songea kwa mkopo ili...
Posted by Azam FC on Tuesday, August 25, 2015

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.