Mchangani

Shein ranger mabingwa wa Tewa



Watoto wa Shein Rangers wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Tewa Cup baada ya kuwachapa watoto wenzao wa Bonde FC goli 2-1, katika mchezo wa fainali uliochezwa siku ya jumapili december 11.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.