vilabu

MBEYA CITY YAMPA KANDARASI YA MIEZI 18 KOCHA WA NDANDA FC

Katika hali ya kuboresha benchi lao la ufndi timu ya Mbeya city ya jijini Mbeya imemchukuwa kocha aliyekuwa anaikochi Ndanda FC, Meja Mstaafu Abdul Mingange kuja kuwa msaaidizi wa kocha Juma Mwambusi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye kurasa ya Mbeyacity FC, inasema kuwa wamempa kandarasi ya miezi 18 Meja Mstaafu Abdul Mingange, ambapo atakuwa msaidizi wa Mwambusi.

Meja Mstaafu Abdul Mingange alijiunga na Ndanda Fc kuchukuwa mikoba ya Denis Kitambi na kufanikisha kuibakisha Ndanda FC katika ligi kuu ya vodacom, msimu uliopita ulioshuhudia yanga wakitwaa ubingwa. 

Kocha wa zamani wa Ndanda Fc ya Mtwara, Meja Mstaafu Abdul Mingange amejiunga nasi.Kocha Mingange anakuwa kocha...
Posted by MBEYA City Council FC on Wednesday, August 19, 2015

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.