vilabu

Uzi mpya wa Azam FC ukojikoni


Mabingwa wa kombe la Mapinduzi Azam FC msimu ujao wa 2012/2013 wanatarjia kuachana na jezi nyeupe ambayo walikuwa wakitumia katika msimu uliomalizika kwa Azam FC kuchukua nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi.

Azam FC kupitia ukurasa wao wa facebook wamesema msimu ujao wanataraji kutumia jezi za ranga ya njano na Blue katika michezo yake yote katika msimu ujao
Muonekano wa uzi mpya wa Azam FC

Uzi unaotarajiwa kutumiwa na Azam FC







Jezi hizo mpya za Azam FC zitakuwa teyari baada ya miezi miwili, hivyo hawatarajii kuzitumia katika michuano ya Kombe la Kagame inayotarajia kuanza katikati ya mwezi ujao.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.