Katika uwanja wa azam complex baada ya kushuhudia Kagera sugar wakilala goli 3-1 toka kwa wamiliki wa uwanja huo Azam fc, kesho Azam watawakaribisha Toto Afrika iliyotoka kufungwa goli 3-1 na Oljoro JKT katika uwanja wa Sh. Amri Abeid.
Wakati kagera sugar kesho watasafiri mpaka Arusha kucheza na Oljoro JKT katika uwanja wa Sh. Amri Abeid.
Azam wataendelea kukosa huduma za wafumania nyavu wao John Bocco na Kipre Tchetche walio majeruhi, huku wachezaji wengine wakiwa fiti kwa mchezo huo, ambapo katika mzunguko wa kwanza Toto walitoa sare ya goli 1-1 na Azam katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa CCM Kirumba mwanza.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA COMPUTER YAKO
call us: +255-657-184-421
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment