JAMHURI NA DUMA NGUVU SAWA

Ligi kuu ya Zanzibar Grand Malt (ZGPL) iliendelea leo katika kisiwa cha Pemba kwa kuwakutanisha timu za kisiwa hicho cha karafu Jamhuri na Duma.

Katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Gombani kisiwani humo, ulimalizika kwa sare ya goli 2-2.

Mara zote Duma walitoka nyuma na kusawazisha magoli hayo ambapo wakati wanakwenda mapumziko Jamhuri walikuwa mbele kwa goli 2-! na Duma walikuja kusawazisha goli hilo katika kipindi cha pili na mchezo kumalizika kwa sare ya 2-2.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA COMPUTER YAKO
call us: +255-657-184-421
www.aboodmsuni21.blogspot.com

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.