ZGPL

VILABU VINAVYOSHIRIKI ZGPL WAPATIWA VIFAA

 Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wa Zanzibar,Mh. Said Mbarouk (wa pili kulia) akikabidhi jezi kwa Meneja wa Timu ya Jamhuri,Abdallah Mohamed (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.Kulia ni Meneja Masoko wa Grand Malt,Fimbo Butallah,akifuatiwa na Rais wa ZFA,Ravia Idarous (katikati) pamoja na Makamu wa Rais wa ZFA - Unguja,Haji Ameir.
 Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wa Zanzibar,Mh. Said Mbarouk (wa pili kulia) akikabidhi jezi kwa Kiongozi wa Timu ya KMKM,Said Mfaume (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.Kulia ni Meneja Masoko wa Grand Malt,Fimbo Butallah,akifuatiwa na Rais wa ZFA,Ravia Idarous (katikati) pamoja na Makamu wa Rais wa ZFA - Unguja,Haji Ameir.

 Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wa Zanzibar,Mh. Said Mbarouk (wa pili kulia) akikabidhi jezi kwa Katibu Kamati ya Waamuzi Zanzibar,Muhsin Rajab (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.Kulia ni Meneja Masoko wa Grand Malt,Fimbo Butallah,akifuatiwa na Rais wa ZFA,Ravia Idarous (katikati) pamoja na Makamu wa Rais wa ZFA - Unguja,Haji Ameir.
 
Kutoka kwa Michuzi Blog

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.