Vinara wa ligi kuu ya vodacom Azam FC jana walifikisha michezo 28 mfululizo ya ligi kuu ya vodacom kucheza bila ya kupoteza.
Azam FC mpaka sasa wamecheza jumla ya michezo 20 ya ligi kuu msimu huu wa 2013/14 bila ya kupoteza mchezo wowote ule huku wakikimbilia kuifikia rikodi ya Simba SC kumaliza ligi bila ya kupoteza mchezo ambapo Azam FC imebakisha michezo sita.
Ikumbukwe kuwa Azam FC msimu uliopita wa 2012/13 ilicheza michezo yake 8 ya mwisho ya ligi kuu ya vodacom bila ya kupoteza, ambapo walimaliza wakiwa wa pili nyuma ya mabingwa Yanga.
Mchezo wa mwisho Azam FC kupoteza ulkuwa ni dhidi ya Yanga katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, uliochezwa february 23 mwaka 2013 na ulichezeshwa na mwamuzi Hashim Abdallah ambaye alichezesha mchezo wa jana kati ya Azam na Yanga uliomalizika kwa sare ya goli 1-1.
Katika mchezo huo ulioipunguza kasi Azam FC katika mbio za ubingwa wa msimu wa 2013/14 goli la ushindi lilifungwa na kiungo aliyekosa pambano la jana kutokana na majeraha Haruna Niyonzima.
Baada ya mchezo huo Azam FC haikupoteza tena mchezo mwingine wowote katika msimu wa 2013/14 na kufanikiwa kumaliza ligi wakiwa wa pili.
Michezo baada ya Yanga katika msimu wa 2012/13 ambayo Azam haikupoteza ni:09/03/13
VPL: Azam FC 1 - 1 Polisi Moro
27/03/13
VPL: Azam FC 3 - 0 Tanzania Prisons
30/03/13
VPL: Ruvu Shooting Stars JKT 0 - 1 Azam FC
04/04/13
VPL: Azam FC 3 - 1 African Lyon FC
13/04/13
VPL: Azam FC 2 - 2 Simba SC
27/04/13
VPL: Coastal Union SC 1 - 1 Azam FC
11/05/13
VPL: Azam FC 3 - 0 JKT Mgambo
18/05/13
VPL: JKT Oljoro FC 0 - 1 Azam FC
Michezo ya msimu huu ambayo Azam FC imecheza bila ya kupoteza
24/08/13
VPL: MTIBWA SUGAR 1-1 AZAM FC (A.Morise)
VPL: MTIBWA SUGAR 1-1 AZAM FC (A.Morise)
28/08/13
VPL: Rhino Ranger 0-2 AZam FC A.H Mwinyi Tabora (G.Mwaikimba,A.Seif)
14/09/13
VPL: Kagera Sugar 1-1 Azam FC Kaitaba (K.Mcha)
18/09/13
VPL: Azam 1-1 Ashanti Azam Comp (K.Tcheche)
22/09/13
VPL: Azam 3-2 Yanga U/Taifa (J.Bocco, K.Tcheche, J.Kimwaga)
29/9/13
VPL: Prinsons 1-1 Azam Sokoine, Mbeya (K.Tcheche)
05/10/13
VPL: Coastal Union 0-0 Azam Mkwakwani, Tanga
9/10 /13
VPL: Azam 2-0 Mgambo shooting Azam Compl (F.M Maliki, K.Tcheche)
13/10/13
VPL: Azam 3-0 JKT ruvu, Azam Comp (H.Mieno, E.Nyoni, S.Aboubakari)
19/10/13
VPL: JKT Oljoro 0-1 Azam, Sh.A Kaluta Arusha (K.Mcha)
28/10/13
VPL: SIMBA SC 1-2 AZAM FC (K.Tcheche)
02/11/13
VPL: Azam 3-0 Ruvu shooting, Azam comp (K.Tcheche, G.Kimwaga, K.Mcha)
07/11 /13
VPL: Azam FC 3-3 M beya, Azam comp (H.Mieno, J.Bocco, K.Mcha)
25/01/14
VPL: AZAM FC 1-0 MTIBWA SUGAR, Azam comp (K.Tcheche)
29/01/14
VPL: AZAM FC 1-0 RHINO RANGERS, Azam comp (K.Tcheche)
02/02/14
VPL: AZAM FC 4-0 KAGERA SUGAR, Azam comp (B.Umonyi x2,K.Friday, J.Azizi)
23/02/14
VPL: AZAM FC 2-2 TANZANIA PRISONS, U/Azam comp (K.Tcheche, A.Morice)
26/02/14
VPL: ASHANTI UNITED 0-4 AZAM FC, U/Azam comp (G.Mwaikimba x2, A.Morice, S.Moradi)
15/03/14
VPL: AZAM FC 4-0 COASTAL UNION, U/Azam (K.Tcheche x2, J.Bocco, K.Friday)
19/03/14
VPL: AZAM FC 1-1 YANGA, U/Taifa (K.Friday)
Michezo iliyosalia ambayo Azam FC ikipata matokeo katika michezo hiyo watakuwa wamefikisha michezo 34 bila ya kupoteza huku wakiwa wameikamata rikodi ya Simba SC ya kuchukuwa Ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom bila ya kupoteza
23/03/14
VPL: AZAM FC Vs OLJORO JKT, U/Azam
26/03/14
VPL: MGAMBO SHOOTING Vs AZAM FC, Mkwakwani
30/03/14
VPL: AZAM FC Vs SIMBA SC, U/Taifa
06/04/14
VPL: RUVU SHOOTING Vs AZAM FC, Mabatini
13/04/14
VPL: MBEYA CITY Vs AZAM FC, Sokoine
19/04/14
VPL: JKT RUVU Vs AZAM FC, U/Azam
0 comments:
Post a Comment