CAF

TWIGA STARS WAANZA KWA KICHAPO TOKA KWA IVORY COAST


Timu ya taifa ya soka la wanawake Twiga stars imeeanza vibaya michuano ya All African games baada ya kukubali kichapo cha goli 1-0 toka kwa madada wa Ivory cost.

Twiga stars imecheza mchezo wake wa kwanza na kukubali kichapo hicho na mchezo ujao atacheza dhidi Nigeria hapo siku ya jumatano september 9.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.