Timu ya taifa yasoka chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys wamefanikiwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji wao Madagascar katika mchezo wa kirafiki ulichezwa nchin Madagascar.
Katika mchezo huo Srengeti boys iliibuka na ushindi wa goli 2-0, ambapo magoli ote ya Serngeti Boys yalifungwa katika kipitia cha pili kupitia kwa Cyprian Mutesigwa na Kelvin Nashon.
Serengeti Boys ipo nchini Madagascar kwa kambi maalumu ya maandalizi ya kuwakabili timu ya taifa ya Afrika kusini katika harakati ya kusaka tiketi ya kufuzu mataifa ya Afrika.
0 comments:
Post a Comment