VPL

AJIB AIPA TATU YANGA, MTIBWA WAKIISHUSHA SIMBA SC

Mshambuliaji wa yanga aliyejiunga na timu hiyo akitokea Simba Ibrahim Ajib ameifungia yanga goli pekee katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa katika uwanja wa Sabasaba mjini Njombe.

Yanga walikuwa wageni wa Njombe mchezo uliomalizika kwa yanga kushinda goli 1-0 goli lililofungwa na Ibrahim Ajibu kwa mpira wa adhabu na kupelekea yanga kuvuna pointi tatu.
Katika hatua nyingine wakatamiwa wa wa Manungu complex Mtibwa sugar wameisha Simba  kileleni baada ya leo kuibuka na ushindi wa goli 1-0 mbele ya Mwadui FC nakufanya kufikisha pointi 6 wakifuatiwa na Simba wenye pointi 4 sawa na yanga, lipuli, azam fc na prisons wakitofautiana idadi ya magoli ya kufunga.

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.