vilabu

Birmigham kutokuja nchini

Timu iliyoshuka daraja, ambayo ingetarajiwa kutua nchini hapo july, Birmigham city 'Blues' wamesitisha safari yao.
Taarifa zilizo wekwa katika mtandao wa Blues zinasema kuwa, wamefikia uwamuzi huo baada ya kuto tokea muandaji wa safari hiyo hapo mei 23 kwa ajili ya kurekebisha baadhi ya vipengele vya mkataba wao.
"Blues can confirm that the club will now not be travelling to Tanzania for a pre- season tour in July. The club had set a deadline of 3 pm Monday (23 May) for the organising parties to categorically give the necessary commitments on paper. As the formal contract for the trip was not entered into, the club regrettably had to pull out to consider other arrangements," taarifa inaeleza.

Katika mkataba wa safari ya kuja nchini, Blues walialikwa kama timu inayo shiriki ligi kuu ya Uingeleza 'EPL' kutokana na kushindwa kubakia katika ligi hiyo, kumepelekea kukosa sifa na hivyo safari yao kuwa ngumu kuja kwa gia ya timu ya epl kama mkataba unavyo eleza.

Safari ya Birmigham ilianza kuingia utata pale tu baada ya klabu ya Yanga kukataa kucheza nayo kama gharama za safari ya klabu hiyo zitabebwa na wao (simba na yanga).
aamsuni

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.