Wachezaji wa simba waliosajiliwa kwa msimu ujao, wamewekwa kando katika kambi ya timu hiyo iliyopo visiwani Zanzibar, wakijianda kuwavaa Waydad ya Morocco.
Wachezaji hao wakiwemo marafiki wawili waliokubwa na kashfa ya ukosefu wa nidhamu katika kipindi cha Maximo, Haruna Moshi 'Boban' na Athuman Iddi 'Chuji' hawato tumika katika mchezo dhidi ya Waydad kwa kuwa majina yao ayamo katika usajili wa Simba uliopo CAF.
Wachezaji ambao wameachwa wataungana na wenzao baada ya mchezo na Wydad ambao utapigwa mei 28 mwaka huu katika uwanja wa petrosport majira ya saa kumi na mbili jioni kwa masaa ya Misri.
Baada ya mchezo huo Simba wataanza maandalizi ya michuano ya kombe la kagame ambalo litafanyika Sudan kuanzia juni 21.
TASU WAJIANDAA KUIPOKEA SIMBA.
Wanafunzi wanao soma Sudan wanatarajiwa kuweka mikakati ya kuisaidia Simba katika michuano ya Kagame Cup ambayo imepangwa kufanyika nchini Sudan kuanzia juni 21.
Katibu wa michezo TASU, Mbarouk akiwa anajibu swali la mdau wa michezo kuhusiana na ujio wa Simba hapo juni 21 katika mkutano wa halmashauri kuu ya TASU, alisema kuwa watajipanga kuipokea na kuwa nayo sambamba katika michuano hiyo mikubwa ya Africa Mashariki na Kati. "Simba inakuja kwa sura ya nchi kupeperusha bendera ya Tanzania, nasi kama wa Tanzania hatuna budi kuiunga mkono, na tutafanya kama tulivyo fanya mwaka 2009," alisema Mbarouk.
Katika michuano hiyo Tanzania itawakilishwa na timu mbili moja kutoka zanzibar na Simba Sc.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment