Katika suala la maendeleo ya michezo huenda sambamba na huwepo wa viwanja vya michezo husika. Kutokana uwelewa huo wananchi katika miaka ya 70 waliamka na kujenga viwanja mbalimbali vya michezo katika mikoa chini ya uongozi wa chama kimoja ambacho ni CCM.
Katika kipindi hicho wananchi walihusika kwa kiasi kikubwa katika ujenzi wa viwanja hivyo vya michezo kwa kukatwa kodi ambazo zilitumika katika shughuli za ujenzi na wengine kushiriki moja kwa moja katika ujenzi wa viwanja ambavyo kwa sasa vinamilikiwa na CCM.
Hii ni dhulma wanayoifanya CCM kwa muda mrefu huku ikikoswa mteteaji. Mwaka jana tuliona namna mechi za ligi kuu zilivyo kuwa zinapanguliwa kwa ajili ya kupisha kampeni za CCM katika viwanja hivyo, huku wapinzani wakikosa mwanya wa kuvitumia.
Majuzi Mbunge wa Ilemela kupitia Chadema alianda tamasha la kushangia madawati ya shule ndani ya jimbo lake na tamasha hilo lilifanyika katika uwanja wa CCM Kirumba baada ya wananchi waliojitokeza kukata tamaa kwa kucheleweshwa kufungu milango ya kuingia uwanja kwa masaa 6.
Uwanja ulitakiwa kufunguliwa saa 5 asubuhi lakini ikafunguliwa saa 11 jioni, kitendo kilicho mpelekea Mbunge huyo kuwapa wiki mbili uongozi wa Ccm mwanza kumlipa asara aliyoingia.
Viwanja hivi ambavyo vimechukuliwa na CCM baada ya mvumo wa vyama vingi kutambulishwa vimekuwa vikikosa huduma japo kuwa vinaiingizia CCM pesa kwa kukodisha frem zinazonguka viwanja hivyo na pale vinavyo tumika.
Mbunge wa Ilemela na wadau wa Mwanza wameamka na kufungua shitaka juu ya uwanja wa CCM Kirumba kumilikiwa na CCM, wakati kimejengwa na wananchi.
Ni wakati sasa wa kuisinikiza CCM kurudisha viwanja kwa umma na kuiondoa hii dhulma inayoendelea katika viwanja vya michezo ambavyo CCM imejimilikisha.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment